Idara ya Kiswahili

Ujumbe kutoka kwa Mkuu wa Idara - Bw. Khaoya Luke

Wakati umekwisha wa kuendelea kuwa mashuhuda was kudidimia kwa matokeo ya mtihani wa K.C.S.E shuleni bila kufanya jitihada za maksudi tena madhubuti sote kwa pamoja kuokoa skuli yetu ya CHEWOYET. Hatuna budi kutafuta haraka ufumbuzi wa matatizo yote kama twaitakia shule yetu mema. Hivyo idara ya Kiswahili in nia njema kutathimini hatua tunazopiga kwa kina. Tuangalie wapi twakosea, wapi twafanikiwa, nini kinatukwamisha, na nini tufanye.

Hivyo idara ya Kiswahili inaamini kuwa tutaibuka na ushindi utakaotuhakikishia ufanisi bandarini ya elimu tunayoitamani.

AKHSANTENI.

Maono (Vision)

Idara ya kukuza wanafunzi wanaokienzi na kukitunza Kiswahili shuleni na kitaifa. Aidha, kujenga utamaduni wa kuboresha na siyo KUVUNJA kila tunapoona makosa.

members

Dira ya Idara (Mission)

  • Kujitolea katika ufundishaji na utahini wa somo la Kiswahili.
  • Kuwahimiza wanafunzi kutumia lugha sanifu na kivuvua vilugha.
  • Kukuza karama ya usomaji na uigizaji kupitia mijadala, makongamano na uigizaji.
  • Kukuza ubunifu kwa kuhimiza uandishi wa mitungo ya kisanaa
  • Hatimaye kujenga mwanafunzi mwenye uaminifu kwa matendo, uchapakazi, uwajibikaji, ustaarabu na heshima.

Mabingwa wa Idara

Jina Majukumu/Somo Jina Majukumu/Somo
Luke Khaoya Mkuu wa idara Nancy Arono Kiswahili
Major Kazi Kiswahili Joseph Ajore Kiswahili
Joan Busienei Kiswahili Daniel Kimkung’ Kiswahili
Pamela Alumasa Kiswahili

MATOKEO

Year A A- B+ B B- C+ C C- D+ D D- E Entry M.pnt M.Grd
2010 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 8.7129 A
2011 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 9.0231 A
2012 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 8.1189 A
2013 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 8.4685 A
2014 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 10.2694 A
2015 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 00 10.4669 A

Comments